KALENDA YA KILIMO CHA MINAZI
Ili kuongeza ufanisi katika kilimo cha aina yoyote, shughuli zote lazima zifanyik kitaalamu na kwa wakati unaotakiwa. Kwa hivyo wakulima, mabwana shambe viongozi, makampuni yanayoshughulikia kilimo na taasisi inabidi waelewe shughu muhimu za zao la minazi kwa mwaka mzima.
Katika kilimo cha minazi shughuli kama vile kutayarisha shamba, kupanda, kupali lia, kutandaza nyasi kavu kwenyejalbe n.k. huwa zina misimu maalumu. misimu hi hutofautiana kutoka sehemu hadi sehemu na mkoa hadi mkoa. Kalenda za kilimo hik zimegawanywa katika sehemu mbili. Kwa mfano mikoa ya Morogoro. Lindi n Mtwara imewekwa katika kundi moja, wakati Tanga, Pwani, Dar es Salaam n Zanzibar iko katika kundijingine. Hii inatokana na ukweli kwamba kila sehemu in wakati maalum wa mvua na kiangazi. Kalenda zilizoambatanisha zitatoa mangaz wakati gani kazi ipi ifanyike na ipi ifuate. Mabwana shamba wanashauriwa kufuat kalenda inayohusika kwa sehemu zao.
KALENDA YA KILIMO BORA CHA MINAZI MIKOAYA DAR ES SALAAM, PWANI, TANGA NA ZANZIBAR
KALENDAYA KILIMO BORA CHA MINAZI MTWARA NA LINDI
Comments
Post a Comment