Skip to main content
Ya kuzingatia Katika Kilimo cha Nyanya
- Mbegu
Pendelea kupanda mbegu za hybrid km ana eden nuru nk ilimradi iwe hybrid.
- Ardhi
Ardhi iwe nzuri yenye rutuba kama haina rutuba weka samadi na pia tumia mbolea za kisasa.
- Dawa
Ni muhimu sana kupulizia dawa mara kwa mara kuanzia kwenye kitalu cha mbegu hadi shambani.
- Mbolea
Inapaswa kuweka mbolea mara mbili hadi tatu kulingana na rotuba ya shamba husika.
- Pia unatakiwa uweke vijiti ili kuwezesha miche kusimama vizuri na kuifanya isianguke nakuozesha matunda.
- Ukizingatia hayo utafanikiwa kwenye kilimo chako cha nyanya.
Pia zao la nyanya linaweza likakuongezea kipato na kakupa faida kubwa endapo tu utazingatia kanuni zake.
Comments
Post a Comment